Sanduku la maoni na malalamiko (Complaints and Suggestion Box)

Kitengo cha huduma kwa wateja kupitia namba
+255 746 811 510

Dawati la huduma kwa wateja katika matawi yote (Customer Service Desk)

Wasilisha maoni na malalamiko yako moja kwa moja kwa wafanyakazi wa Benki ya Akiba tawini (Direct contact with branch staff)

Tovuti ya Benki ya Akiba www.acbbank.co.tz ambayo itakupa: - Online Chat - Fomu ya malalamiko/maoni inayopatikana kwenye customer complaints (Malalamiko kwa wateja)

Tumia mitandao yetu ya kamii kufikisha maoni na malalamiko yako.
Facebook : ACBTanzania
Instagram : acb_tanzania

Kitengo cha Benki Kuu (BOT) cha kusuluhisha malalamiko ya wateja (Complaints Resolution Desk) kupitia anuani ifuatayo; Complaints Resolution Desk, Office of the Secretary to the Bank, 2 Mirambo Street, 11884
Dar es Salaam, Fax No. +255 22 223 4067 | complaints@bot.go.tz | www.bot.go.tz

TOP